Monday, June 24, 2013

THE ASSISTANT REFEREE-MWAMUZI MSAIDIZI





He indicates to show about throwing ball

 Indicates where the foul goes

 Indicates goal kick

The assistant referee indicates a corne kck

Offside indication

 The far offside

 Middleoffside

 Nearest offside

 Subsititution required

 Goal signal


TAZAMA PICHA 5 ZA MCHEZAJI ATAKAYEKUWA KIVUTIO 2014 BRAZIL




 hwally12@gmail.com




HUYU NI MKALI SANA,ANAIJUA VIZURI SHERIA NAMBA 10 KTK SOKA



Sheria namba 10 ya Mpira wa Miguu ni ile ya ufungaji.Viungo vyote vimeruhusiwa kushinda goli isipokuwa mikono.Pia
a.Kusiwe na kosa lililojotokea kabla ya mpira 
   kuvuka mstari wa goli(goal line)
b.Hapakuwa na muito wa filimbi kabla ya mpira 
   kupigwa.
c.Mchezaji hakuwa ameotea...

Saturday, June 22, 2013

SENDING OFF OFFENCES (FOOTBALL)

The following are the sending offences which can be made by a player,
1.Is quitly serious foul play
2.Is quitly of violence conduct
3.Spit at opponent or any other person
4.Denies the opposing team a goal or an obvious goal scoring opportunity deliberately handling the ball
5.Denies an obvious goal scoring opportunity to an opponent moving towards the players goal by an offence
   punishable by a free kick or penalt kick
6.Use of offensive language or insulting or abusive language or gestures
7.Receives the second caution in the same match



 hwally12@gmail.com

SHORT HISTORY OF FOOTBALL AND THE DEVELOPMENT OF THE LAWS OF THE GAME.

(a)1845;Eastern college has the earliest known set of rules of football.
(b)1848;Each major public had by now developed their own rules and in order to standardise all various
             regulations so that competions could be held at5) trinity college cambridge.
(c)1856;Shelfied the ordest football club founded in 1855 adopts the new rules.
(d)1863;On 01 Dec 1863 the football association was formed in England and establish it's own set of 14
              Laws.
(e)1865;It was agreed that a tape must be stretched across the goal at a height of 8 feet.
(f)1866;The offside states that, there must be at least 3 opponents between attacker and goal.
(g)1869;Goal kicks are introduced.
(h)1871;The F.A. Cup was introduced and the goalkeeper was mentioned for the first time.
(i)1872;The size of the ball is fixed for the first time.
(j)1874;Shinguards are introduced and UMPIRES are mentioned in the laws.
(k)1875;The crossbar,the shelfied football association innovation replace the goal  tape.
(m)1877;The FA and the shelfied association agree to one uniform code of the laws of the game.
(n)1878;The whistle was used for the first time.
(o)1882;The two handed throw in was introduced.
(p)1890;Goal nets used for the first time.
(q)1891;The penalt kick was introduced and a Referee and Two Linesmen replace the umpire.
(r) 1898;The number of official laws reach the modern number of 17 Laws. (s)1905; Goal keeper are ordered to stay on their goal line for penalties.
(t)1912;Goal keeper use of hand restricted to his pen
alt area.
(u)1913;Distance of opponents at free kicks extended from 8 to 10 yards.
(v)1914;Distance of opponents at corner kick is also 10 yards.
(w)1920;Players can not be offside at throw in.

hwally12@g.mail.com

Friday, June 21, 2013

PATA KIDOGO JUU YA MPIRA WA MIGUU

                                     Ifuatayo ni historia fupi ya Mpira wa Miguu

                      -Mwanzo wa soka unaweza kupatikana katika uwanja wa jiografia na historia.
                      -Wachina,Wajapan,Waitalia,na Wakorea wote walikuwa wakicheza mpira zamani.
                      -Wagiriki na Waromania walitumia michezo hiyo kuwaandaa wapiganaji kabla ya vita.
                       -Hata hivyo ni nchini Uingereza ndipo umbo la soka lilikoibuka,wakati mashirikisho mawili,
                      - Shirikisho la Mpira wa Miguu na Mpira wa Rugby yalitawnyika
                      -Shirikisho la kwanza lilibaki Uingereza ambapo la soka lilianza.Mnamo mwaka 1863 vilabu
                        vilituma wawakilishi kwenye mkutano wa freemason ili kujadili na kuweka kanuni
                        zilizokubalika wakati wa mashindano yao
                       -Miongoni mwa kanuni zilizowekwa ni zile za kukataa kushika mpira na kunyang'anya
                        kwa nguvu.
                       -Soka na rugby zilitawanyika baada ya miaka 8 tangu kuanzishwa kwa shirikisho la kandanda
                         (F.A)ambapo lilikuwa na wanachama 50.

Monday, June 17, 2013

17 LAWS OF THE GAME[FOOTBALL]


Timu ya Morocco mwaka 1977
  The following are the 17 Laws of the game
       1.The field of play.
       2.The soccer ball.
       3.The number of players.
       4.The players equipment.
       5.The referee.
       6.The assistant referee.
       7.Thee duration of the match.
       8.The start and restart of play.
       9.The ball in and out of play.
       10.The method of scoring.
       11.The offside.
       12.Fouls and misconduct.
       13.Free kick.
       14.The penalt kick.
       15.Throw ins.
       16.Goal kik.
       17.Corner kick.

Sunday, June 16, 2013

SIFA 6 ZA PEKEE ZA MKE MWEMA


HAPPY MASSAWE AU MRS SAMWEL MABULA

  Mithali 14:1“Kila mwanamke aliye na Hekima hujenga nyumba yake; Bali aliye mpumbavu hibomoa kwa mikono yake mwenyewe”

Kuna mithali isemayo “MAJUTO MJUKUU”, ni kawaida kwa wanandoa kuangalia na kulaumiana juu ya matatizo yanayojitokeza, badala ya kutafakari chanzo cha matatizo. Matatizo mengi ya ndoa yanatokana na wanandoa kutokuwa na elimu ya ndoa na kutofuata ushauri wa Mungu aliyeanzisha Ndoa. Baadhi ya sifa za Mwanamke mwenye Hekima – Pia Soma Mithali 31:10-31.

1.     Hufumbua kinywa chake kwa hekima, Na sheria ya wema I katika ulimi wake (31:26). Wanawake wengi hawajui kuutumia ulimi vizuri – Ukali, maneno ya mikato, matusi, ukaidi n.k. kwao ni mambo ya kawaida. Wengi wanatawaliwa na HASIRA na WIVU, akiona mumewe anacheka na mwanamke ni Kosa la jinai, mwanamke anafura wala hata hawezi kuongea, hali ya hewa inabadilika hata paka nyumbani wanatambua kuwa hali ni Mbaya.
2.     Hufanya kazi kwa Moyo na Huamka alfajiri na mapema
Kuna wanawake ambao ni wavivu kupindukia, inafika wakati hata kutandika kitanda anamtuma House Girl, wanaume ni rahisi sana kuvutwa na anayemhudumia kwa ukaribu, House girl akiandaa chakula, mara kitanda, mara maji ya kuoga, mara apige deki chumbani n.k. Haichelewi mwanaume kulipa fadhila kwa wema anaotendewa.

3.     Ni msafi na anajua kuandaa mavazi yanayofaa kwa familia yake
Kuna wanawake ambao ni wachafu – usishangae kukuta sufuria kwenye makochi, chumba cha kulala ni stoo ya nepi za mikojo na nguo chafu, wengine kuoga ni anasa. Mwanamke ni MAJI, sharti mwanamke awe msafi muda wote. Wanaume wote wanapenda Usafi, marashi hata ya mchina yasikose, Mwanamke hakikisha “Reception” inakuwa Safi na kuwa katika hali ya kumfanya Mume ajisikie kujipumzisha kwa Raha mstarehe.

4.     Jali na timiza Mahitaji ya NDOA kwa mume wako
Sulemani anasema mwanamke mwema “Taa yake haizimiki usiku”, kuna wanawake wavivu kwa swala hili, pia kuna wanaopenda kulipa visasi kwa kuwanyima waume zao huduma, utakuta wiki nzima mama apanda kitandani huku amevaa “KOMBATI” utafikiri ni askari anaenda vitani. Wanaume ni sawa na Mbuzi ambao hawachelewi kukata kamba wakikosa majani walipofungiwa. Fanya makosa yote, lakini usijefanya ujinga wa kumkomoa mume kwa kumnyima huduma ya Ndoa, hilo ni kosa la Jinai. Hakikisha huduma hizo zinaboreshwa, nenda na wakati ili mradi isiwe kinyume na taratibu za Mungu.

5.     Mwanamke anatakiwa kujua kupika chakula kitamu, ambacho familia itafurahia.
Wanawake wengi hasa wa siku hizi hawajui kupika, ndio maana utakuta wanaume wengi wanaishia kula hotelini au kwa mama ntilie, kama umetoka bara basi usione aibu kujifunza kwa watu wa pwani namna ya kuunga NAZI kwenye chakula. Akina mama ni wajibu wao kujifunza Mapishi, Mchicha peke yake unaweza kuwa na mapishi zaidi ya 10, wanaume wanapenda chakula chenye ladha “Test”, mfanye mume akumbuke chakula cha nyumbani.

6.     Mwamini Mume wako, wivu na hisia mbaya ni adui wa ndoa yako. Usitoe siri za ndoa yenu kwa mashoga au ndugu zako. Muda wote muombe Mungu akupatie hekima ya kuongea pindi tatizo linapotokea, Muombee mume wako ili Mungu amsaidie pia awe na Hekima ya kutunza Ndoa kwa Uadilifu na Upendo.