Ifuatayo ni historia fupi ya Mpira wa Miguu
-Mwanzo wa soka unaweza kupatikana katika uwanja wa jiografia na historia.
-Wachina,Wajapan,Waitalia,na Wakorea wote walikuwa wakicheza mpira zamani.
-Wagiriki na Waromania walitumia michezo hiyo kuwaandaa wapiganaji kabla ya vita.
-Hata hivyo ni nchini Uingereza ndipo umbo la soka lilikoibuka,wakati mashirikisho mawili,
- Shirikisho la Mpira wa Miguu na Mpira wa Rugby yalitawnyika
-Shirikisho la kwanza lilibaki Uingereza ambapo la soka lilianza.Mnamo mwaka 1863 vilabu
vilituma wawakilishi kwenye mkutano wa freemason ili kujadili na kuweka kanuni
zilizokubalika wakati wa mashindano yao
-Miongoni mwa kanuni zilizowekwa ni zile za kukataa kushika mpira na kunyang'anya
kwa nguvu.
-Soka na rugby zilitawanyika baada ya miaka 8 tangu kuanzishwa kwa shirikisho la kandanda
(F.A)ambapo lilikuwa na wanachama 50.
No comments:
Post a Comment